Juni 22, 2026 itabaki kuwa siku ya kipekee katika historia ya Kombe la Dunia baada ya nahodha wa Argentina, Lionel Messi, kuweka rekodi mpya ya mabao mengi zaidi katika mashindano hayo. Katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Dallas Stadium, Messi alifunga bao lake la 17 la Kombe la Dunia na kumvuka mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani, Miroslav Klose, ambaye alikuwa akishikilia rekodi ya..... download Xtra 90 App



