Afisa Habari na Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema timu yake inatarajia kupata upinzani mkubwa kutoka Azam FC katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, akisisitiza kuwa mchezo huo hautakuwa rahisi kama baadhi ya watu wanavyodhani.
Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea fainali hiyo, Ahmed Ally alisema Azam FC ni timu imara ambayo imeonyesha uwezo mkubwa..... download Xtra 90 App



