Katika Kombe la Dunia 2026, kuna mastaa wengi wanaovutia macho ya mashabiki. Wapo Cristiano Ronaldo, Kylian Mbappé na Lionel Messi. Lakini kwa upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo), mmoja wa watu wanaovuta hisia zaidi si mchezaji, bali ni shabiki anayesimama kimya kwa dakika 90 bila kusogea.
Anaitwa Michel Kuka Mboladinga, maarufu kama Lumumba Vea. Picha zake zimekuwa..... download Xtra 90 App



