Local,Normal News,YangaSC, AzamFC, NBCPremierLeague #NewAmanComplex

Je, tuwape heshima yao au wachukue kwa nguvu?

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
23 Jun 2026
Je, tuwape heshima yao au wachukue kwa nguvu?

Hilo ndilo swali kubwa linalozungumzwa na mashabiki wa Yanga kuelekea mchezo muhimu dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Baada ya Azam kuichapa Yanga SC kwa  mabao 3-2 kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, wengi ndani ya kambi ya Wananchi wameanza kujiuliza kama wapinzani wao wanastahili kupewa heshima zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Azam wameonyesha kuwa si timu ya kubeza tena, wakijivunia kikosi kipana na kocha Florent Ibenge ambaye anaingia uwanjani bila presha kubwa.

Kwa upande wa Yanga, matumaini makubwa yamebaki kwa nyota kama Maxi Nzengeli, Pacome, Abuya na Okello kuhakikisha historia ya mchezo uliopita haijirudii. Sasa macho yote yataelekezwa New Amaan Complex kuona kama Yanga watachukua tahadhari zaidi dhidi ya Azam au wataingia kwa nguvu wakiamini ubora wao unaweza kuamua mchezo.

Swali linasalia palepale; je, Azam wanapaswa kupewa heshima yao au Yanga wawachukulie kama wapinzani wa kawaida?

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE →
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE →
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
7h ago
READ MORE →
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
9h ago
READ MORE →
Rasmi: João Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: João Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE →
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE →
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
12h ago
READ MORE →
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
14h ago
READ MORE →
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE →
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE →