Ronaldo aweka rekodi kombe la Dunia

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 24th June 2026

Ronaldo aweka rekodi kombe la Dunia

Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amerejea kwa kishindo katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga mabao mawili na kuiongoza Ureno kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Uzbekistan.

Ronaldo, ambaye amekuwa akikosolewa na baadhi ya wadau wa soka kuhusu umri wake na uwezo wa kuendelea kucheza katika kiwango cha juu, alitoa jibu uwanjani kwa kuonyesha ubora wake mbele ya lango...... download Xtra 90 App

More Stories

TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE β†’
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Today, READ MORE β†’
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Today, READ MORE β†’
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
Today, READ MORE β†’
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yafafanua taarifa ya kufungiwa na FIFA
Yanga yafafanua taarifa ya kufungiwa na FIFA
Today, READ MORE β†’
Henry David apewa mkataba Singida BS
Henry David apewa mkataba Singida BS
Today, READ MORE β†’
Neo Maema arejea Mazoezini Simba SC
Neo Maema arejea Mazoezini Simba SC
Yesterday, READ MORE β†’
Chelsea wakamilisha usajili wa Pep Chavarria, Huku wakihitajika kupunguza idadi ya wachezaji.
Chelsea wakamilisha usajili wa Pep Chavarria, Huku wakihitajika kupunguza idadi ya wachezaji.
Yesterday, READ MORE β†’