Chelsea wamekamilisha makubaliano ya kumsajili beki wa pembeni wa Atalanta, Marco Palestra, katika moja ya dili kubwa za majira haya ya kiangazi. Taarifa zinaeleza kuwa pande zote zimefikia makubaliano ya mdomo, huku Atalanta wakitarajiwa kupokea zaidi ya euro milioni 55 pamoja na kipengele cha kunufaika na mauzo yajayo ya mchezaji huyo.
Palestra, mwenye umri wa miaka 21, anatarajiwa..... download Xtra 90 App



