Klabu ya Yanga imezindua rasmi mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2026 baada ya Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo kutangaza kalenda kamili ya uchaguzi itakayohitimishwa kwa upigaji kura Agosti 2, 2026. Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 24, 2026 na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Malangwe A. Mchungahela, ikifungua rasmi safari ya kupata viongozi watakaoiongoza..... download Xtra 90 App



