Bayern Munich wamefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto Nathaniel Brown kutoka Eintracht Frankfurt kwa ada ya euro milioni 55, huku mchezaji huyo akitarajiwa kusaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo hadi Juni 2031.
Usajili wa Brown unakuwa wa pili mkubwa kwa Bayern katika dirisha hili la usajili baada ya klabu hiyo kukamilisha usajili wa Ismael Saibari kutoka PSV Eindhoven wiki..... download Xtra 90 App



