Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa kati Elliot Anderson kutoka Nottingham Forest kwa pauni milioni 130, hatua inayoripotiwa kuvunja rekodi mpya ya uhamisho wa wachezaji nchini Uingereza.
Ripoti zinaeleza kuwa Anderson mwenye umri wa miaka 23 ameiomba rasmi Nottingham Forest kumpa ruhusa ya kujiunga na Manchester City, huku akionyesha nia ya wazi ya..... download Xtra 90 App



