Timu ya taifa ya Ecuador imeandika moja ya hadithi kubwa zaidi za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufuzu hatua ya 32 bora kwa ushindi wa kushangaza wa mabao 2-1 dhidi ya Ujerumani, licha ya kuwa walikuwa kwenye hatihati ya kuaga mashindano hayo.
Ecuador ilianza vibaya kampeni yake kwa kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Ivory Coast kabla ya kutoka sare tasa dhidi ya CuraΓ§ao katika mechi ya..... download Xtra 90 App



