Ivory Coast Yafanya makubwa , yaungana na Afrika kusini , Morocco 32 bora

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 26th June 2026

Ivory Coast Yafanya makubwa , yaungana na Afrika kusini , Morocco 32 bora

Timu ya taifa ya Ivory Coast imeandika ukurasa mpya katika historia yake baada ya kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 kwa mara ya kwanza, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CuraΓ§ao katika mchezo wa mwisho wa Kundi E uliopigwa Philadelphia Stadium.

Ushindi huo uliiwezesha Ivory Coast kumaliza nafasi ya pili katika kundi hilo kwa pointi sita nyuma..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Today, READ MORE β†’
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Today, READ MORE β†’
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Today, READ MORE β†’
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Today, READ MORE β†’
Ni Yanga Day 2026: Uwanja wa Uhuru
Ni Yanga Day 2026: Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE β†’
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Yesterday, READ MORE β†’
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Yesterday, READ MORE β†’
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Yesterday, READ MORE β†’
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’