Barker , Tukitumia nafasi Singida hawachomoki

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 26th June 2026

Barker , Tukitumia nafasi Singida hawachomoki

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema kikosi chake kinatarajia mchezo wa ushindani dhidi ya Singida BS utakaochezwa kesho, akisisitiza kuwa lengo kuu ni kutumia nafasi zitakazopatikana na kuondoka na alama tatu. Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya mchezo huo, Backer amesema anaiheshimu Singida BS na anaamini haitakuwa mechi rahisi.

Barker amesema maandalizi ya timu..... download Xtra 90 App

More Stories

Alvares arejea Madrid baada mapumziko, Barcelona bado inamtaka
Alvares arejea Madrid baada mapumziko, Barcelona bado inamtaka
Today, READ MORE β†’
TFF yazindua mfumo wa kununua tiketi kidigitali
TFF yazindua mfumo wa kununua tiketi kidigitali
Today, READ MORE β†’
Gwalala aanza kazi TRA United
Gwalala aanza kazi TRA United
Today, READ MORE β†’
Infantino mambo yanazidi kuwa magumu FIFA
Infantino mambo yanazidi kuwa magumu FIFA
Today, READ MORE β†’
Rashford aanza maisha upya Manchester United
Rashford aanza maisha upya Manchester United
Today, READ MORE β†’
Fei Toto aibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora Zanzibar
Fei Toto aibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii
Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii
Today, READ MORE β†’
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Today, READ MORE β†’
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Today, READ MORE β†’
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Yesterday, READ MORE β†’