Pamba Jiji FC inaweza kuingia kwenye kipindi kigumu cha kujenga upya kikosi baada ya kumalizika kwa msimu wa NBC Premier League, huku taarifa zikieleza kuwa idadi ya wachezaji wake huenda ikaondoka kuelekea msimu ujao.
Hali hiyo inatajwa kuchangiwa na changamoto mbalimbali za ndani ya klabu pamoja na kuvutiwa kwa baadhi ya nyota wake na timu nyingine zinazotafuta kujiimarisha. Kwa mujibu..... download Xtra 90 App



