Chelsea na Sunderland wanatarajiwa kuendelea na mazungumzo mapya leo kuhusu uwezekano wa kumsajili kiungo wa Uswisi, Granit Xhaka, huku viongozi wakuu wa klabu zote mbili wakiendelea kuwa kwenye mawasiliano ya moja kwa moja. Ingawa dili hilo linaelezwa kuwa gumu, bado halijafikia hatua ya kuvunjika.
Kwa mujibu wa taarifa zinazoendelea kutoka Ulaya, Xhaka ameonyesha nia kubwa ya kurejea..... download Xtra 90 App



