Hatimaye Manchester City imemtangaza rasmi Enzo Maresca kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo, akichukua nafasi iliyoachwa na Pep Guardiola baada ya enzi iliyodumu karibu muongo mmoja na kuifanya City kuwa moja ya timu bora zaidi duniani.
Kwa mashabiki wa City, uteuzi wa Maresca unaashiria mwanzo wa ukurasa mpya wenye matumaini makubwa, lakini pia maswali mengi. Je, ataweza kuendeleza..... download Xtra 90 App



