Kumeibuka taharuki kuelekea mchezo muhimu wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Mexico na Ecuador, baada ya mamia ya mashabiki wa Mexico kukusanyika nje ya hoteli inayofikia timu ya taifa ya Ecuador wakipiga honi za magari, tarumbeta, spika na kuimba nyimbo usiku kucha.
Taarifa zinaeleza kuwa baadhi ya wachezaji wa Ecuador walionekana wakichungulia madirishani kuona..... download Xtra 90 App



