Yanga SC imeendelea kuandika historia katika soka la Tanzania baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa tano mfululizo, rekodi inayodhihirisha ubora na uthabiti wa klabu hiyo katika ushindani wa ligi.
Wananchi walihakikisha ubingwa huo kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Isamuhyo. Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha..... download Xtra 90 App



