Manchester City wanaendelea kuonyesha nia yao ya kuwekeza kwa vipaji vya muda mrefu baada ya kuibuka na taarifa kwamba klabu hiyo inafikiria kufanya uhamisho wa kiungo kinda wa Morocco, Ayyoub Bouaddi, kuanzia majira ya joto ya mwaka 2027.
Kinda huyo anayechukuliwa kama mmoja wa vipaji vinavyongβaa zaidi baada ya kufanya vyema kwenye kikosi cha Morocco kwenye michuano ya kombe la Dunia,..... download Xtra 90 App



