Azam yaiwahi Simba Pemba .

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 1st July 2026

Azam yaiwahi Simba Pemba .

Kikosi Cha Azam FC kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wa fainali CRDB Bank Federation dhidi ya Simba , mchezo ambao utafanyika uwanja wa Gombani, Pemba Jumamosi hii .

Ikumbukwe Azam FC wanaingia fainali hii baada ya kuinyoosha Yanga Sc kwa mabao matatu pale katika Dimba la Ccm Kirumba Mwanza huku kwa upande wa Simba wakitinga fainali hiyo baada ya kuwaondoa wagosi wa kaya Coastal Union.

Β 

More Stories

Mpanzu abeba tuzo ya kinara wa assisti kwa assisti 10
Mpanzu abeba tuzo ya kinara wa assisti kwa assisti 10
Today, READ MORE β†’
Azam yaiwahi Simba Pemba .
Azam yaiwahi Simba Pemba .
Today, READ MORE β†’
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Today, READ MORE β†’
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Today, READ MORE β†’
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Today, READ MORE β†’
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Today, READ MORE β†’
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Today, READ MORE β†’
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
Today, READ MORE β†’
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Today, READ MORE β†’
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Today, READ MORE β†’