JKT Tanzania wamtembelea Pacome Zouzoua hospitali kutoa pole na kumtia moyo

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu • 1st July 2026

JKT Tanzania wamtembelea Pacome Zouzoua hospitali kutoa pole na kumtia moyo

Uongozi wa JKT Tanzania pamoja na mchezaji wao Hassan Wahabi wamemtembelea kiungo wa Yanga SC, Pacôme Zouzoua, aliyepata jeraha wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania uliochezwa Juni 30, 2026 katika Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo, Dar es Salaam. 

Ziara hiyo ya dharura ilifanyika hospitalini kwa lengo la kutoa pole, kumjulia hali na kumtia moyo nyota huyo wa Yanga SC baada ya kuumia..... download Xtra 90 App

More Stories

Mgunda atua Simba
Mgunda atua Simba
Today, READ MORE →
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Today, READ MORE →
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Today, READ MORE →
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Today, READ MORE →
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Today, READ MORE →
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Today, READ MORE →
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Today, READ MORE →
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Today, READ MORE →
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Today, READ MORE →
Singida BS yaifumua Fountain Gate 3-0
Singida BS yaifumua Fountain Gate 3-0
Today, READ MORE →