Belgium wameandika moja ya ushindi wa kukumbukwa zaidi katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kutoka nyuma na kuifunga Senegal mabao 3-2 baada ya muda wa nyongeza, katika mchezo wa hatua ya 32 bora uliokuwa umejaa msisimko kutoka mwanzo hadi mwisho.
Senegal walianza mchezo kwa kasi kubwa na kufungua mabao dakika ya 25 kupitia Habib Diarra, kabla ya IsmaΓ―la Sarr kuongeza la pili dakika ya 51..... download Xtra 90 App



