Klabu ya Tottenham Hotspur imeendelea kuonyesha nguvu kubwa katika soko la uhamisho baada ya kufikia makubaliano ya rekodi ya klabu ya pauni milioni 100 kumsajili kiungo wa Newcastle United, Sandro Tonali, huku pia ikikamilisha dili jingine kubwa la Mateus Fernandes kutoka West Ham.
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Sky Sports, Tottenham wamekubaliana kulipa jumla ya..... download Xtra 90 App



