Azam FC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27 baada ya kukamilisha usajili wa winga mahiri wa SC Villa ya Uganda, Hassan Mubiru, ambaye anatajwa kuwa mmoja wa vipaji vinavyoibukia kwa kasi katika soka la Uganda.
Mubiru, mwenye umri wa miaka 21, anajiunga na Wanalambalamba baada ya kuwa na msimu bora akiwa na SC Villa, ambapo alivutia kwa kasi, uwezo wa kupiga chenga..... download Xtra 90 App



