Kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, ameandika historia nyingine katika NBC Premier League 2025/26 baada ya kumaliza msimu akiwa kinara wa clean sheets kwa kutoruhusu bao katika mechi 18, akithibitisha kwa mara nyingine kuwa ni miongoni mwa makipa bora zaidi barani Afrika.
Diarra amekuwa nguzo muhimu ya safu ya ulinzi ya Yanga msimu huu, akionyesha utulivu mkubwa langoni, uwezo wa..... download Xtra 90 App



