Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, amesema klabu hiyo imerejea kwenye njia ya ubingwa baada ya kutwaa taji la CRDB Federation Cup leo, akieleza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya maendeleo ambayo timu imeyapata msimu huu.
Akizungumza mara baada ya ushindi huo, Magori amesema Simba imefanikiwa kufikia moja ya malengo yake kwa kutwaa kombe hilo, huku..... download Xtra 90 App



