Azam yacharuka , Haraka yakamilisha sajili za winga hatari

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 5th July 2026

Azam yacharuka ,  Haraka yakamilisha sajili za winga hatari

Taarifa rasmi kutokea ndani ya Azam fc inaelezwa kuwa tayari Timu hiyo imekamilisha usajiri wa wachezaji wawili ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea msimu wa 2026-27 .

Kupitia taarifa hiyo ni kuwa Azam imekwisha kamilisha sajili za mawinga hatari ambao ni Enock Molia kutokea St Lupopo ya Dr Congo pia ikimrejesha Kipre jr akitokea Mc Alger.

Kupitia taarifa hiyo pia Inaeleza kuwa Timu hiyo itaenda kuachana na wachezaji kadhaa wa kimataifa ili kupata maingizo mapya kikosini , ikumbukwe Azam itashiriki michuano ya kombe la shirikisho msimu ujao .

More Stories

Norway waandika historia kwenye kombe la dunia 2026

Today, READ MORE β†’
Braut Halland aiteketeza Brazil na kuitupa Nje WC2026
Braut Halland aiteketeza Brazil na kuitupa Nje WC2026
Today, READ MORE β†’
Azam yacharuka ,  Haraka yakamilisha sajili za winga hatari
Azam yacharuka , Haraka yakamilisha sajili za winga hatari
Today, READ MORE β†’
Mbeya City yatamba Mbeya Derby , Prison Ikitapatapa

Paredi la Simba lakatisha Jangwani, utani wa jadi watawala

Nani anasema uwanja wa Yanga ni siasa? Hersi aweka wazi mchakato wa ujenzi

Haina kupoa, Brazil kukutana uso kwa uso na Norway kwenye fainali ya wc26

Jamal Bakhresa ailalamikia bodi ya ligi na TFF kuhusu Azam fc

France wafuzu robo fainali kombe la dunia 2026, Rasmi kukutana na Morroco

Morroco wafuzu Robo fainali kombe la dunia 2026, Akiwaondoa wenyeji Canada

Yesterday, READ MORE β†’