Pablo Franco Martinez aandika historia Morocco, MAS Fez watwaa ubingwa baada ya miaka 41

Joel JJ By Joel JJ • 6th July 2026

Pablo Franco Martinez aandika historia Morocco, MAS Fez watwaa ubingwa baada ya miaka 41

Maghreb Association Sportive de Fès (MAS Fez) imerudi kileleni mwa soka la Morocco baada ya kutwaa ubingwa wa Botola Pro, ikiwa ni mara yao ya kwanza kushinda taji hilo baada ya miaka 41 ya kusubiri.

Timu hiyo ya jiji la Fès inayonolewa na kocha wa zamani wa Simba Pablo Franco, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa tano katika historia yake, ikiwa imeshinda mataji ya awali mwaka 1965, 1979,..... download Xtra 90 App

More Stories

Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC

Today, READ MORE →
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Today, READ MORE →
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni

Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania

Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha

Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe

Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama

Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli

Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili

Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 16, August 20 2026