Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema shirikisho hilo linatarajia kuanza kutumia mfumo wa Video Support (VS) kama mbadala wa Teknolojia ya Msaidizi wa Waamuzi kwa Njia ya Video (VAR) kuanzia msimu ujao wa mashindano.
Karia amesema uamuzi huo umetokana na gharama kubwa zinazohusiana na ununuzi wa vifaa, uendeshaji na matengenezo ya mfumo wa VAR, ambazo..... download Xtra 90 App



