Local,Normal News,Simba, Singida Black stars, CECAFA

Makundi Kagame Cup hadharani , Simba kumenyana na Singida Black stars

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
10 Jul 2026
Makundi Kagame Cup hadharani , Simba kumenyana na Singida Black stars

Ratiba ya makundi michuano ya Cecafa Kagame Cup imechezwa hii Leo nchini Rwanda ambapo wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano hayo Simba na Singida Black stars wakipangwa pamoja kundi B , sambamba na Timu za Jamus ya Sudan na Mogadishu city ya Somalia.

Kwa upande wa kundi A linaundwa na Timu za APR , Vipers , Gor Mahia na Garne Republicane huku kundi C likiundwa na Al Hilal Omdurman , Rayon Sports, Tusker na Kvz ya visiwani Zanzibar .

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi julai 24 mwaka huu jijini Kigali nchini Rwanda.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
9h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
12h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’