Ni Uingereza au Norway kufuzu nusu fainali kombe la Dunia?

Joel JJ By Joel JJ β€’ 11th July 2026

Ni Uingereza au Norway kufuzu nusu fainali kombe la Dunia?

Macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa jijini Miami, Marekani, wakati Norway na England zitakapokutana katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia 2026, huku kila upande ukiwa na ndoto ya kufuzu hatua ya nusu fainali.

Huu ni mchezo unaobeba uzito mkubwa kwa pande zote mbili. England inatafuta kuendelea na safari yake ya kuwania taji la dunia, wakati Norway imeandika historia..... download Xtra 90 App

More Stories

Nyota wa Mamelodi Sundowns na Bafana Bafana, Jayden Adams Afariki Dunia

Today, READ MORE β†’
Ni Uingereza au Norway kufuzu nusu fainali kombe la Dunia?
Ni Uingereza au Norway kufuzu nusu fainali kombe la Dunia?
Today, READ MORE β†’
Messi na kijiji chake wana kazi mbele ya Uswisi Alfajiri ya Jumapili

Yanga yaibomoa Mashujaa Fc, yasajili wawili kwa mpigo

Loemba mambo magumu Simba, kupewa Thank You

Spain yasonga kwenye nusu fainali kombe la dunia 2026, ikiiondoa ubelgiji

Yanga yashusha kocha kutoka Afrika Kusini

Mossi, Moalin wasepa na tuzo za ligi kuu Juni 2026

Simba yaidizi kete Yanga kwa winga hatari

Yanga mbioni kumnasa Mrithi wa Boka
Yanga mbioni kumnasa Mrithi wa Boka
Today, READ MORE β†’