Local,Transfer News,TRA United

TRA United yatema wachezaji nane

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Jul 2026
TRA United yatema wachezaji nane

Klabu ya TRA United imethibitisha kuachana na wachezaji nane baada ya mikataba yao kumalizika.

Miongoni mwa wachezaji hao ni mshambuliaji mkongwe Reliant Lusajo ambaye alikuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha watoza ushuru hao msimu uliopita.

Wachezaji wengine walioachwa ni Hamad Hilika, Adam Omar Adam, Nassoro Kapama, Prince Leonard Chindongo, Iddy Kichindo, Salum Chuku, pamoja na mshambuliaji Shabani Idd Chilunda.

TRA United ilimaliza nafasi ya tano kwenye ligi kuu ya NBC msimu uliopita, wakijipanga kufanya vyema zaidi msimu ujao 2026/27.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’