Usajili wa mshambuliaji nyota wa Namibia, Peter Shalulile, kujiunga na Yanga akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns haukuwa jambo la bahati wala maamuzi ya ghafla. Nyuma ya pazia kulikuwa na mpango wa muda mrefu ambao uliendeshwa na Rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Ally Said.
Hersi amefichua kuwa alikuwa akimfuatilia na kuwasiliana na Shalulile kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya hatimaye..... download Xtra 90 App



