Safari ya Simba SC katika michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026 imefikia tamati rasmi baada ya matokeo ya kundi kufanya isiwezekane tena kufuzu hatua ya nusu fainali.
Wekundu wa Msimbazi wamekusanya pointi mbili pekee katika mechi mbili, huku wakibakiwa na mchezo mmoja dhidi ya Singida Black Stars. Hata wakishinda mchezo huo, watafikisha pointi tano ambazo hazitatosha kuwafanya wawe miongoni..... download Xtra 90 App



