Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema shirikisho limefanya maboresho ya kanuni za mashindano kwa lengo la kuimarisha nidhamu na kuhakikisha haki inatendeka katika soka la Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari za michezo katika Ofisi za TFF, Karia alisema kuwa kuanzia sasa timu yoyote itakayobainika kutumia vyumba vya kubadilishia nguo visivyo..... download Xtra 90 App



