Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Opa Clement, amesema Twiga Stars ipo tayari kwa mchezo muhimu dhidi ya Burkina Faso na haina hofu ya kukabiliana na wapinzani wao, licha ya mshambuliaji Judicael Ouoba kuifahamu vizuri soka la Tanzania kutokana na kuichezea Tausi FC katika Ligi Kuu ya Wanawake.
Opa amesema kufahamiana kwa baadhi ya wachezaji hakutabadilisha maandalizi wala..... download Xtra 90 App



