Dirisha la usajili linaendelea kupamba moto barani Ulaya huku vilabu vikubwa vikiongeza kasi ya kukamilisha sajili mpya na kuwania nyota wanaohitajika kabla ya msimu mpya kuanza. Hizi ndizo tetesi na taarifa kubwa za usajili za leo.
Tottenham wamuwekea jicho Ferran Torres
Tottenham Hotspur wanafikiria kumsajili mshambuliaji wa Barcelona, Ferran Torres,..... download Xtra 90 App



