Mshambuliaji wa Tanzania, Selemani Mwalimu, yupo jijini Dar es Salaam akikamilisha taratibu za kupata VISA kwa ajili ya kurejea Morocco kujiunga na klabu yake ya Wydad Casablanca. Kwa mujibu wa taarifa, mchezaji huyo anatarajiwa kuondoka nchini kati ya Agosti 4 na 5, 2026, baada ya kushindwa kufikiwa kwa makubaliano ya kuendelea kuitumikia Simba SC.
Mwalimu alikuwa akiichezea Simba kwa..... download Xtra 90 App



