Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga watavaana na watani wao wa jadi, Simba SC ambao ni mabingwa CRDB CUP katika fainali ya Ngao ya Jamii 2026 itakayochezwa Agosti 12, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huo, unaoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), unatarajiwa kuashiria mwanzo rasmi wa msimu wa 2026/27.
Yanga wamefuzu kushiriki fainali hiyo..... download Xtra 90 App



