Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa tahadhari kwa klabu zinazoshiriki mashindano mbalimbali nchini kuhakikisha zinakamilisha usajili wa wachezaji ndani ya muda uliopangwa, likieleza kuwa zimesalia siku 15 pekee kabla ya kufungwa rasmi kwa dirisha la usajili wa msimu wa 2026/27.
Kupitia taarifa yake, TFF imebainisha kuwa hadi Julai 31, 2026, baadhi ya klabu za NBC Premier..... download Xtra 90 App



