Klabu ya Coastal Union imewataka mashabiki na wapenzi wa soka mkoani Tanga kujitokeza kwa wingi kushiriki shughuli mbalimbali kuelekea tamasha la Coastal Union Festival 2026, litakalofanyika Agosti 11 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa klabu hiyo, Hussein Mchomvu, tamasha hilo litahusisha shughuli za kijamii zikiwemo kutembelea na kutoa misaada katika vituo vya watu wenye mahitaji..... download Xtra 90 App



