Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza rasmi kujiunga na Young Africans SC kama mwanachama wa klabu hiyo wakati wa mkutano unaoendelea wa Annual General Meeting (AGM).
Akizungumza mbele ya wajumbe wa mkutano huo, Chalamila alisema ujio wa mshambuliaji Peter Shalulile ni miongoni mwa mambo yaliyomvutia zaidi kujiunga na Wananchi, akieleza kuwa usajili huo unaonyesha..... download Xtra 90 App



