Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ameweka wazi mpango wake wa kuendelea kumtumia Elie Mpanzu katika nafasi ya mshambuliaji wa kati badala ya winga, akiamini uwezo wake unaweza kuipa timu nguvu zaidi eneo la mwisho la ushambuliaji.
Barker alianza kufanya mabadiliko hayo mwishoni mwa msimu uliopita ambapo alimhamishia Mpanzu kutoka pembeni na kumtumia kama mshambuliaji wa kati, hatua..... download Xtra 90 App



