Mwamuzi Bora wa Kiume wa CAF 2025, Omar Abdulkadir Artan, ameteuliwa kuwa mwamuzi mkuu wa mchezo wa fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026 utakaofanyika nchini Rwanda.
Artan, ambaye anatoka Somalia, atakuwa akiongoza mchezo huo mkubwa akiwa pamoja na wasaidizi wake wawili; Liban Abdulrazack kutoka Djibouti na Eliezer Stephen Yiembe wa Kenya.
Uteuzi huo umeongeza heshima kwa waamuzi hao,..... download Xtra 90 App



