Aliyekuwa kocha msaidizi na kaimu kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC, Abdihamid Moalin, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Mombasa United inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (FKF Premier League) kwa ajili ya msimu wa 2026/2027.
Hatua hiyo inakuja baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kandarasi, huku viongozi wa Mombasa United wakionyesha imani kubwa katika falsafa na..... download Xtra 90 App



