Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema taratibu zote za kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura zilifuatwa kwa kuzingatia maelekezo ya Serikali na katiba ya klabu, huku akifafanua kilichochelewesha kufanyika kwa mkutano huo.
Mangungu alisema yeye ndiye Mwenyekiti halali aliyechaguliwa na wanachama wa Simba SC, na kwamba mabadiliko yoyote ndani ya klabu yanapaswa kufanywa na wanachama..... download Xtra 90 App



