Klabu nne zinazoiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa ya CAF msimu wa 2026/2027 zinatarajiwa kuwafahamu rasmi wapinzani wao Alhamisi hii, Agosti 6, wakati Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) litakapofanya droo ya hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Hafla hiyo itafanyika katika makao makuu ya CAF jijini Cairo,..... download Xtra 90 App



