Mvutano wa kiuongozi ndani ya klabu ya Simba SC umeendelea kutikisa baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, Crescentius Magori, kujibu kauli za Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, kuhusu mchakato wa kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura.
Mangungu awali alieleza kuwa taratibu zote za kuitisha mkutano huo zilifuatwa kwa kuzingatia maelekezo ya Serikali pamoja na Katiba ya..... download Xtra 90 App



