Mambo ni moto! Ule usajili wa Yanga uliotikisa soka la Afrika Mashariki hatimaye unaenda kukamilika kwa vitendo, mshambuuliaji Peter Shalulile, akitarajiwa kutua nchini usiku wa leo, Jumatatu, Agosti 3, 2026.
Habari za uhakika kutoka ndani ya viunga vya Jangwani zinasema kuwa, nyota huyo wa kimataifa raia wa Namibia, atatua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere..... download Xtra 90 App



