Vini aikata maini Arsenal, arejea mazoezini Real Madrid

Joel JJ By Joel JJ • 3rd August 2026

Vini aikata maini Arsenal, arejea mazoezini Real Madrid

Winga nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, ameonekana kurejea rasmi kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa kihistoria barani Ulaya, hatua inayozidi kupunguza matumaini ya Arsenal ambayo imekuwa ikihusishwa kwa nguvu na kumsajili katika dirisha hili la usajili.

Vinícius alirejea kwenye kituo cha mazoezi cha Real Madrid baada ya kumaliza mapumziko..... download Xtra 90 App

More Stories

Wapinzani wa yanga siku ya Wananchi kujulikana kesho

Today, READ MORE →
CAF Super Cup kupigwa Novemba 8 Pretoria
CAF Super Cup kupigwa Novemba 8 Pretoria
Today, READ MORE →
Vini aikata maini Arsenal, arejea mazoezini Real Madrid
Vini aikata maini Arsenal, arejea mazoezini Real Madrid
Today, READ MORE →
Shalulile kutua Dar leo, aandaliwa mapokezi makubwa

Magori amjibu Mangungu: “Simba inaongozwa na Katiba, si Magori, Mangungu wala Mo”

Simba SC yafanikisha zoezi la uchangiaji damu kuelekea Wiki ya Simba

Droo hatua ya awali ligi ya mabingwa, Shirikisho (CAF) ni Alhamisi

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu August 03 2026

Mangungu afunguka: “Nilipendekeza mkutano, nikajibiwa kuna marathon”

Simba hakuna mgogoro, tumepishana mitazamo tu - Mangungu