Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi tarehe ya mchezo wa CAF Super Cup 2026, ambapo pambano hilo litafanyika tarehe 8 Novemba 2026 nchini Afrika Kusini.
Katika mchezo huo wa kuwania taji la ubingwa wa Afrika, mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Mamelodi Sundowns, watakutana na mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger.
Mchezo huo mkubwa wa kuamuliwa bingwa wa..... download Xtra 90 App



